Powered By Blogger

Wednesday, January 30, 2013

Ni Hatari Kumpenda mke Aliyeachwa na Mume Mwingine...

Si vibaya kujua historia ya mpenzi uliye naye kwa sasa ukatambua kaachwa na wanaume wangapi? Je,wewe utahimili mapungufu yake? ..Kama ni tamaa imekusogeza kwake ujue haupo salama...Nimefanya tafti za mahusiano ni kagundua mpenzi wako wa kwanza kumpa ahadi ya kumuoa ndiye chaguo sahihi..achana na wale ambao ulikuwa unapiga jaramba kujua upo fiti au la ! Yatupasa kuvumiliana kwa wapenzi wa kweli wenye nia ya kuoana ili uishi maisha marefu na ya furaha katika ndoa. Posted By Mcjoe Lwenge

No comments:

Post a Comment